Kiarguni

Kiarguni ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waarguni kwenye kisiwa cha Arguni. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiarguni imehesabiwa kuwa watu 150 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiarguni iko katika kundi la Kibomberai-Kaskazini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search